Our Father (Swahili)

Wikipedia Entry

Please note that this translation is not official. It was automatically translated in part or completely and has not yet been reviewed.

Baba yetu
Uliye mbinguni
Jina lako litukuzwe
Ufalme wako ufike
Mapenzi yako yafanyike
Duniani kama ilivyo mbinguni
Utupe leo chakula chetu cha kila siku
Na utusamehe makosa yetu
Kama tunavyosamehe waliotukosea
Na usitutie katika majaribu
Bali utuokoe na yule mbaya.